JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Samia kuongoza ujumbe wa Tanzania mkutano wa FOCAC nchini China

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China…

Waomba uundaji sera ushirikishe jamii

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Morogoro Wadau mbalimbali wa uhifadhi wameitaka serikali, kuongeza msukumo wakushirikisha jamii wakati wa mchakato wa uundaji sera mbalimbali. Rai hiyo imetolewa na wadau mbalimbali wa uhifadhi ,walipokuwa kwenye mafunzo juu ya umuhimu wa jamii kujua haki…

Mko wapi viongozi wa dini, mbona mpo kimya watu wanapotea – Lema

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media,Arusha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless Lema amesema anasikitika kuona viongozi wa dini kuwa kimya huku vitendo vya utekaji vikiendelea nchini. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Arusha,…

Bei ya umeme Tanzania ni nafuu kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki – Kapinga

📌 Ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku katika kila uniti 📌 Aelezea ruzuku inayotolewa na Serikali kufikisha umeme visiwani Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika…

Madereva Kibaha Mjini wampongeza Dk Shemwelekwa kwa tuzo maalum

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa mapema leo Agosti 30, 2024 amekabidhiwa TUZO MAALUM ya uongozi Bora, Upendo na kuwajali watumishi kutoka kwa Madereva 20 wa Magari na Mtambo wanaofanya kazi kwenye…

Rais Samia amwaga mabilioni kuboresha sekta ya elimu, afya Halmashauri ya Mji Kibaha

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan ameridhia na kuidhinisha kiasi cha fedha shilingi Bilioni 3.9 kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha miundombinu kwenye Sekta ya Elimu,afya na Utawala Halmashauri ya Mji…