JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TASAC yatahadharisha uwepo wa upepo mkali

Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) ,limetoa tahadhali kwa wananchi na wadau juu ya uwepo wa upepo mkali kwa siku tatu kwenye baadhi ya maeneo kwenye ukanda wa Pwani,ya kusini mwa Bahari ya…

Ofisi ya Mganga Mkuu Dar, USAID Afya Yangu, Mama na Mtoto yawanoa kina mama 50

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam OFISI ya Mganga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam kwa kushirikiana na USAID Afya Yangu, Mama na Mtoto wametoa mafunzo kwa akina mama 50 kutoka Wilaya nne za Mkoa huo. Wilaya hizo ni…

Amir Jeshi Mkuu Rais Dk Samia akizindua kitabu cha miaka 60 ya JWTZ

Mtukio mbalimbali wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 kwa Jeshi hilo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia…

Polisi wanawake Tanzania washiriki mafunzo Marekani

CHICAGO MAREKANI Katika Picha ni washiriki wa Mkutano wa Mafunzo ya Shirikisho la Askari wa kike na wasimamizi wa sheria wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo yaliyolenga kuwajengea uwezo wa kiutendaji shirikisho hilo Leo Septemba 01,2024 Katika Jiji la Chicago Nchini Marekani