JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ubelgiji yaunga mono agenda ya nishati safi – Dk Biteko

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Ubelgiji imesema inaunga mkono kampeni ya Nishati Safi ya kupikia na hivyo imeonesha  nia ya kushirikiana na Tanzania katika matumizi ya nishati hiyo kwa maendeleo ya Bara zima la Afrika iliyoasisiwa…

Wapiga kura wapya 491,050 kuandikishwa Mara, Simiyu na Manyara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara UBORESHAJI wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Mara, Simiyu na baadhi ya halmashauri za Mkoa wa Manyara utafanyika kwa siku saba kuanzia kesho tarehe 04 hadi 10 Septemba, 2024 ambapo jumla ya wapiga…

DRC: Watu 129 wameuawa katika jaribio la kutoroka gerezani

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema kuwa takribani watu 129 waliuawa walipokuwa wakijaribu kutoroka katika gereza kuu la Makala katika mji mkuu Kinshasa siku ya Jumapili jioni, na kuongeza kuwa hali sasa imedhibitiwa, Shirika la habari la Reuters…

Dhambi ya kuiua Ngorongoro

Na Manyerere Jackton, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kwa miaka kadhaa nimeandika mengi kuhusu uhifadhi, hasa eneo la Ngorongoro ambako kuna Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA), na Pori la Akiba Pololeti (Loliondo). Mambo yanayoendelea katika eneo hili yanahitaji…

Mafanikio ya kiuchumi Indonesia yaihamasisha Tanzania kujifunza

Na Mwandishi Maalum Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema mageuzi ya kiuchumi ya Indonesia katika sekta mbalimbali kama vile uchimbaji wa mafuta na gesi, kilimo na viwanda vimeiwezesha nchi hiyo kuwa nafasi…