Category: MCHANGANYIKO
Wafariki kwa mganga wakitafuta dawa ya biashara, wazikwa kwa siri
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Wafanyabiashara wawili Raymond Hyera (25) na Riziki Mohamed (30) wamefariki dunia wakiwa kwa mganga wa tiba za asili, Mtila Ausi maarufu Shehe Mtila, baada ya kupewa maji ya kuwawezesha biashara zao kufanya vizuri. Baada ya kunywa…
Rowen William achaguliwa kuwania Ballon D’or
Na Isri Mohamed Golikipa wa Mamelod Sundowns, Ronwen Williams amechaguliwa kuwania tuzo kubwa za mpira duniani ‘Ballon D’or’ katika kipengele cha magolikipa kumi bora duniani ”YashinTrophy’ Katika kipengele hicho, Williams anashindanishwa na na Diogo Costa (FC Porto), Gianluigi Donnarumma (Paris…
Kiongozi wa upinzani Uganda ‘Bobi Wine’ kufanyiwa upasuaji
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu Bobi Wine amepangwa kufanyiwa upasuaji baada ya kudaiwa kupigwa risasi na askari Polisi. Taarifa zinasema Bobi Wine atafanyiwa upasuaji baadaa ya kujeruhiwa mguu katika tukio la vurugu lilitokea mjini Kampala. Wakili…
Makalla : CCM hatubebwi tumejipanga
Chama Cha Mapinduzi (CCM)kimesema kitaendelea kushinda chaguzi zake kwa haki na sio kwa kubebwa. Akizungumza katika mkutano maalum na viongozi wa CCM mkoani Arusha, Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema kuwa…
RC Chalamila apokea majina ya wafanyabiashara wa soko la Kariakoo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Septemba 04,2024 amepokea taarifa ya kamati aliyoiunda kupitia orodha ya majina ya wafanyabiashara wa soko la Kariakoo katika ukumbi wa mikutano Arnatoglo Mnazi…