JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kiwanja cha ndege Mafia kufanyiwa maboresho ili kuongeza utalii na uwekezaji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Kiwanja cha ndege wilayani Mafia, mkoani Pwani, kinatarajia kufanyiwa maboresho kwa kujengwa jengo jipya la abiria na kusimikwa taa kwenye njia za kutua na kuruka ndege. Maboresho haya yanalenga kurahisisha usafiri wa anga, hususan nyakati…

Sisiwaya awaonya madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani nchini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka madereva Nchini wameaswa kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuondokana na ajali zisizo za lazima. Hayo yamesemwa na mkuu wa operesheni wa Kikosi cha usalama barabarani Tanzania, Kamishina Msaidizi…

Serikali yaibariki timu ya Taifa kuogelea kuelekea mashindano ya dunia

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Baraza la michezo la taifa imetoa baraka zake kwa timu ya taifa ya mchezo wa kuogelea inayotarajia kwenda kushiriki mashindano ya dunia yanayotarajiwa kuanza hivi…

Spika mstaafu ashangaa wasichana kuwaacha wavulana kitaaluma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SPIKA mstaafu Anne Makinda ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kairuki amependekeza zifanyike tafiti kujua sababu za watoto wengi wa kiume kuachwa nyuma kitaaluma na wenzao wa kike. Aliyasema hayo jana…

Furahika chaanzisha kozi ya kufundisha wasichana ukondakta kwenye mabasi

u Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Ufundi Stadi cha Furahika, kimeanzisha program mpya ya kuwafundisha watoto wa kike masuala ya ukondakta kwenye mabasi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Chuo hicho,…

Serikali bega kwa bega na wafanyabiashara kutatua changamoto zao

๐Ÿ“Œ Rais Samia Apongezwa Kuifungua Nchi Kiuchumi ๐Ÿ“Œ Dkt. Biteko Awahimiza Wafanyabiashara Kulipa Kodi Kwa Maendeleo ya Nchi ๐Ÿ“Œ TCCIA Yaendelea Kuwa Daraja la Wafanyabiashara wa Tanzania, Yafungua Ofisi China, London na Uturuki ๐Ÿ“ŒSerikali Yapongezwa Kwa Kuwekeza Kwenye Miundombinu Na…