JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Dkt.Mpango: Serikali kuondoa changamoto zinazowakabili wakulima

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema serikali itahakikisha inaondoa changamoto za wakulima katika msimu mpya wa kilimo ikiwemo kusogeza huduma za mbolea ya ruzuku katika maeneo ya jirani zaidi na wakulima. Makamu wa…

Serikali yaipa kipaumbele miradi ya umwagiliaji Ruvuma

Serikali imetenga fedha katika bajeti ya mwaka 2023/24 kwa ajili ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya umwagiliaji katika bonde la Mto Ruvuma, Ruhuhu na Litumbandyosi mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Kilimo,Anthony Mavunde katika ziara ya Makamu wa…

Spika Tulia aongoza kikao cha maspika nchini Cameroon

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao wakati wa Mkutano wa 18 wa Maspika na Viongozi wa Bunge wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CSPOC) uliofanyika Katika Ukumbi wa Mikutano wa Yaounde…

Songwe yakumbwa na uhaba wa petroli na dizeli

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Songwe Mkoa wa Songwe unakabiliwa na uhaba wa nishati ya mafuta ya petrol na dizeli na kuzua hofu kwa watumiaji wa vyombo vya moto wakihisi huenda yakaadimika na kusababisha usumbufu. Uhaba huo wa mafuta umeanza kujitokeza siku tano…

NHIF yasitisha mkataba vituo 48 vilivyobainika kufanya udanganyifu

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),umesitisha mkataba na vituo vya kutolea huduma 48 na waajiri binafsi 88 ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua watoa huduma 139 wa sekta ya afya. Hayo yamebainishwa leo Julai 11, 2023 na Mkurugenzi…