JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Samia apongeza mchango wa NMB kwenye kilimo akifunga maonesho ya Nane Nane

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mbeya RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hasaan, ameipongeza Benki ya NMB kwa mchango uliotukuka kwenye Sekta ya Kilimo, Uvuvi, Ufugaji na Misitu, sambamba na kusapoti Program ya Kuandaa Vijana na Wanawake Kujenga…

Majaliwa aiagiza BoT kuzisimamia benki katika maboresho ya riba

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameiagiza Benki kuu ya Tanzania (BOT) kuzisimamia Taasisi za kifedha kwa upande wa mabenki kuboresha riba katika mikopo wanayoitoa. Akizungumza Leo,Agosti 3, 2023, katika banda la BoT mara baada ya …

Waziri Kijaji ataka wenye viwanda kuzalisha bidhaa zenye ubora

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amevitaka viwanda vyote nchini kutengeneza  bidhaa zenye ubora  kwa gharama nafuu  ili ziweze kuingia katika soko  Eneo huru la biashara Afrika (AfCFTA) Ameyasema hayo Agosti 3, 2023 alipotembea Kiwanda cha kuzalisha Maziwa…

Waziri Jafo aridhishwa uzingatiaji sheria ya mazingira bandari Mtwara

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wazir wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira),Dkt. Selemani Jafo ameonesha kuridhishwa na uzingatiaji wa Kanuni na Sheria ya Mazingira katika Bandari ya Mtwara. Hayo yalijiri wakati wa ziara ya kikazi ya Dkt. Jafo…

Dk. Sigalla:Kipengele cha afya ya uzazi EJAT kitapunguza mitazamo hasi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Jumla ya waandishi wa habari 92 wameshiriki katika kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri katika Uandishi wa Habari (EJAT) 2022 ambapo jumla ya kazi 883 ziliwasilishwa kutoka vyombo vya habari vya magazeti, radio, runinga na vyombo vya…

Dkt.Mpango: Serikali kuondoa changamoto zinazowakabili wakulima

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema serikali itahakikisha inaondoa changamoto za wakulima katika msimu mpya wa kilimo ikiwemo kusogeza huduma za mbolea ya ruzuku katika maeneo ya jirani zaidi na wakulima. Makamu wa…