Category: MCHANGANYIKO
Mazishi ya Ali Mohamed Kibao jijini Tanga
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akishiriki mazishi ya Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Marehemu Ali Mohamed Kibao aliyetekwa na kukutwa ameuawa siku chache zilizopita ambapo amzishi yake yamefanyika leo jijini Tanga.Picha na Wizara ya Mambo…
Mkumbo: Serikali kuendelea kushirikiana na asasi za kiraia bila kikwazo
Na Hughes Dugilo, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa, Kitila Mkumbo amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia nchini nakwamba haitakuwa kikwazo kwao katika shughuli zake za kuleta maendeleo, sanjari na kutoa mawazo yatakayojenga zaidi ili…
Vijana watakiwa kutumia vizuri mitandao
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam DIWANI wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Beatrice Edward amewataka vijana kutumia mitandao kujinufaisha na wala sio katika mambo yasiyokuwa na faida. Ametoa wito huo wakati akizungumza kwenye Jukwaa la Usimamizi…
Fk Biteko asisitiza maadili, weledi na uwajibilajo katika ununuzi wa umma
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji ili kuleta ufanisi uliokusudiwa. Dkt. Biteko ametoa agizo hilo wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri…
Rostam Azizi atoa tamko kuhusu mauaji ya kiongozi wa CHADEMA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Dar es Salaam – Mfanyabiashara maarufu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini, Rostam Azizi, ameungana na Watanzania wengine kulaani vikali mauaji ya kiongozi wa chama cha Chadema, Mohamed Ali Kibao, yaliyotokea…