JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Jafo aipa tano TPA uboreshaji miundombinu ya kutolea huduma katika bandari zake

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia meli na…

TPA, WMA watakiwa kusimamia kikamilifu ‘Flow Meter’

Na Mwandishi Wetu JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) kuhakikisha wanasimamia kikamilifu ‘Flow Meter’ inayotumika kupima kiwango cha mafuta yanayoingia nchini ili Serikali…

Waziri Aweso amtumbua mkurugenzi ‘mlevi’ Chato

Na Isri Mohamed Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ametengua nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Chato (CHAWASSA), Mhandisi Mari Misango, kwa tuhuma za utovu wa nidhamu kazini. Waziri Aweso ametoa uamuzi huo akiwa kwenye…

Lissu ataka vyombo vya usalama vichunguzwe na visafishwe

Isri Mohamed MAKAMU mwenyekiti Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema ipo haja ya vyombo vya usalama vya kimataifa kuja kuvichunguza vyombo vya usalama vya hapa nchini ili kubaini chanzo cha matukio ya utekaji na mauaji…

Wafahamu Al Ahly Tripoli, wapinzani wa Simba shirikisho

Isri Mohamed Wachezaji wa klabu ya Simba leo alfajiri Agosti 11, wameondoka nchini kuelekea Libya kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika watakaocheza dhidi ya klabu ya Ahly Tripoli ya nchini humo. Katika mchezo huo…

AZAKi, sekta binafsi na umma, kushirikiana kuleta maendeleo

Na Hughes Dugilo, JamhuriMedia, Arusha Shirika la Foundation for Civil Society (FCS), limeandaa mpango kazi utakaosaidia AZAKi kujikwamua kiuchumi kutokana na ushirikano utakaozikutanisha pamoja na sekta binafsi katika utekelezaji wa shughuli zao mbalimbali za maendeleo katika jamii. Hayo yamebainishwa na…