JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TIC yaanika mafanikio ya uwekezaji

DARE SALAAM Na Aziza Nangwa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kimesema miradi mipya 235 yenye thamani ya mabilioni ya fedha imesajiliwa katika kipindi cha mwaka 2020/21. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Dk. Maduhu Kazi, anasema miradi…

Zengwe la mafuta

*Masilahi binafsi ya vigogo yatajwa yaongeza bei za dizeli, petroli nchini *Wapandisha usafirishaji kutoka Sh 110,000 hadi Sh 165,000 kwa tani *Rais Samia ambana Waziri, Septemba ashusha usafirishaji hadi Sh 13,000 kwa tani *EWURA yataka maelezo hasara ya Sh milioni…

Ofisa PSSSF mbaroni kwa wizi

*Adaiwa kuongoza genge la madalali feki wa mahakama *Anaswa baada ya JAMHURI kuripoti taarifa za genge hilo  DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala limewafikisha mahakamani watu sita akiwamo ofisa wa Mfuko wa Pensheni kwa…

Chanjo ya corona yagombewa

*Dar es Salaam, Moshi, Arusha waomba upendeleo *Waongoza watalii waomba ruhusa kuagiza chanjo  *Wananchi waweka kando propaganda na kuamua ‘maisha kwanza’ Na Waandishi Wetu Maelfu ya wananchi wamejitokeza kupata chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, COVID-19, unaosababishwa na…

Maswali, majibu kuhusu chanjo ya corona 

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Maalumu Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) iliyo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa ufafanuzi wa kina kuhusu aina mbalimbali za chanjo za Covid – 19 (corona). …

Messi na ukurasa wa mwisho Camp Nou

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Kila zama na kitabu chake. Kila nabii na kitabu chake. Hii ni misemo maarufu katika jamii na hutumika mara kwa mara. Messi naye ana kitabu chake katika Klabu ya Barcelona na soka kwa ujumla…