JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kikwete atoboa siri ya ushindi CCM

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema anafurahishwa na namna makada, wanachama na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wanavyoendeleza umoja…

CAG atoa kongole kwa PPAA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles Kichere ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kutoa elimu kwa umma kuhusu majukumu yake. Bw. Kichere ametoa pongezi hizo wakati alipotembelea…

Tushindane kuwaletea maendeleo wananchi – Rais Dk Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewataka wanasiasa kushindana kuwaletea wananchi huduma bora za kijamii kimaendeleo. Rais Dkt.Mwinyi ameeleza kuwa kama yeye amejenga hospitali kila Wilaya na kuboresha huduma mbalimbali za kijamii iwe ni…

Dk Nchemba aongoza mawaziri wenzake kikao makamu wa rais

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewaongoza Mawaziri wenzake; Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Jerry Silaa (Mb), katika kikao na Makamu wa Rais…

TTB yajipanga kukuza sekta ya utalii nchini

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BODI ya Utalii Tanzania (TTB), imesema imelenga kuhakikisha fursa zote za utalii wa Tanzania kuanzia ngazi ya halmashauri zinatambulika ili kuliingizia Taifa pato. Hayo yameelezwa mwishoni mwa wiki mkoani Morogoro n Mkurugenzi Mkuu…

RC Chalamila akutana na Kamati ya ardhi Maliasili na Utalii

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai mosi,2024 amekutana na Kamati ya Ardhi Mali asili na Utalii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi hiyo Ilala Boma Kamati hiyo…