JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali kuunda chombo kusimamia mikataba yake

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema serikali ina mpango wa kuanzisha chombo cha kuratibu na kusimamia mikataba ambayo serikali inaingia. Hatua hiyo ya kunusuru nchi kuingia katika mikataba yenye masharti hasi na inayoigharimu serikali. Amesema hayo wakati…

Zambia yajifunza usimamizi madeni ya ndani Tanzania

TIMU ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Zambia, imefanya ziara ya mafunzo katika Wizara ya Fedha Tanzania. Lengo la mafunzo ni lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya uendeshaji ikiwemo usimamizi wa madeni ya ndani. Mafunzo hayo yamefanyika Ofisi…

Uchumi wa bluu kuinua pato na maendeleo wilayani Mafia

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia  Viongozi, Wadau wa Uvuvi, mazingira na Utalii kutoka Taasisi mbalimbali wakishiriki Kongamano la Uwekezaji kwenye Uchumi wa Buluu, lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri uliopo Chicco. Mgeni rasmi ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani…

Wahitimu DMI waaswa kuzingatia uzalendo kwa manufaa ya taifa

Na Lookman Miraji Wahitimu wa chuo cha bahari cha Dar es salaam (DMI) wameaswa juu ya kuweka mbele suala la uzalendo katika fani hiyo kwa manufaa ya taifa. Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa uchukuzi , David Kihenzile katika…

Watumishi REA watakiwa kufanyakazi kuendana na kasi ya Serikali

đź“ŚAsisitiza kuongeza ubunifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma đź“ŚAwataka kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa maadili đź“ŚWizara ya Nishati yaipongeza REA kwa utekelezaji wa miradi Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, ubunifu,…

Kiwanja cha ndege Mafia kufanyiwa maboresho ili kuongeza utalii na uwekezaji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Kiwanja cha ndege wilayani Mafia, mkoani Pwani, kinatarajia kufanyiwa maboresho kwa kujengwa jengo jipya la abiria na kusimikwa taa kwenye njia za kutua na kuruka ndege. Maboresho haya yanalenga kurahisisha usafiri wa anga, hususan nyakati…