Category: MCHANGANYIKO
Tanzania yapiga marufuku uingizwaji wa mazao kutoka Malawi na Afrika Kusini
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanza rasmi utekelezaji wa marufuku ya uingizwaji wa Mazao ya kilimo kutoka nchi za Malawi na Afrika Kusini, ikiwa ni hatua ya kulinda maslahi ya wakulima na wafanyabiashara wa Kitanzania kufuatia uamuzi wa…
Wasira: Viongozi wa dini wametutia nguvu kuendelea na uchaguzi mkuu
Wasira: Viongozi wa dini wametutianguvu kuendelea na uchaguzi mkuu *Asema ushauri wao pamoja na wadau wengine utaendelea kuzingatiwa*Asisitiza kuwa Dk. Samia kwa miaka minne amefanya kazi kubwa*Atoa mwanga jinsi ilani ijayo ya CCM itakavyoleta ahueni kwa wakulima Na Mwandishi Wetu,…
Dk Mpango: Kuna haja ya kuweka utalii wa vyakula katika utambulisho wa utalii Afrika
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema ipo haja ya kuweka utalii wa vyakula katika msingi wa utambulisho wa utalii wa Afrika ikiwemo kuimarisha mvuto wake kimataifa kwa kuweka…
Makalla: Uteuzi wa CCM sio kamari, viongozi acheni ahadi za uteuzi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amewaonya baadhi ya viongozi wa chama hicho wanaotoa ahadi za uteuzi kwa watia nia wa…
Bilioni 3 zatumika kukamilisha ujenzi wa hospitali Bagamoyo
Na Lookman Miraji. Mkoa wa pwani licha ya kuwa na maboresho makubwa katika suala zima la miundombinu na huduma nyingine za kijamii, bado mkoa huo unakabiliwa na uhaba wa huduma mbalimbali za kijamii. Kupitia hospitali inayojengwa katika maeneo ya Kiromo…