JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mamluki wa CCM wakaliwa kooni

*Mtandao wa kumpinga Rais Samia ‘wafukiziwa moshi’ *Waahirisha vikao vya kupinga chanjo, waanza kuogopana *Askofu Gwajima atwishwa msalaba, Rais Samia aonya 2025 *Katibu Mkuu asema hakuna mkubwa kuliko chama, watajuta Na Mwandishi Wetu, Dodoma Baada ya kuchapisha habari za uwepo…

Virusi vingine hatari hivi hapa

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Wakati dunia ikiendelea na mapambano dhidi ya ugonjwa wa COVID – 19 unaosababishwa na virusi vya corona; virusi vinavyotambulika kama ‘Human Papilloma’ (HPV) vinatajwa kuwa ni hatari kwa binadamu. Mkurugenzi wa Huduma za Kinga…

‘Ajali za kutisha barabarani zimedhibitiwa’

DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Matukio ya ajali za barabarani yakihusisha magari, pikipiki, Bajaj, baiskeli, guta na watembea kwa miguu yamepungua kwa kiwango kikubwa nchini. Akizungumza na JAMHURI katika mahojiano maalumu, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishina Msaidizi…

Mgogoro ardhi waiweka manispaa njia panda

DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Manispaa ya Kigamboni imewekwa mtegoni na wakazi 31 wa Mtaa wa Magede, Kisarawe II, baada ya kuitaka itatue mgogoro wa ardhi baina yao na Kampuni ya Oilcom. Mgogoro huo unahusu eneo la ekari 34…

Hii ndiyo Yanga ninayoijua

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hii ndiyo Yanga ninayoijua. Inaingia sokoni kibabe, inasajili kibabe, kisha mashabiki na wanachama wake nje wanaanza kupiga mikwara mtaani. Simba si kama hawajasajili nyota, wamesajili nyota, lakini wako zao kimya katika ishu za mikwara…

RIPOTI UCHAGUZI MKUU Wanasiasa waunga mkono mapendekezo

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemkabidhi Rais Samia Suluhu Hassan Ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana huku ikiambatanisha mapendekezo kadhaa ili kuimarisha ufanisi wa shughulu zake. Katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini…