JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kamati ilete majibu utitiri tozo za mafuta

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kamati iliyoundwa kuchunguza mfumko wa bei ya mafuta nchini kati ya mwezi Julai, Agosti na Septemba, itatoa taarifa yake Septemba 16, 2021. Kamati hiyo iliundwa Septemba 2, 2021. Katika hili, ninadhani tunakwenda kufanya…

Wizara ya Afya ipate uongozi mpya

Albert Einstein, mmoja wa binadamu wenye akili za kiwango cha juu katika karne ya 20, alipata kusema: “We cannot solve our problems with the same thinking we used when we created them.” [Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kutumia mawazo yale yale tuliyotumia…

Taliban, waasi watwangana kudhibiti ngome ya mwisho 

PANJSHIR, AFGHANISTAN  Wanamgambo wa Taliban wametafuna ng’ombe mzima ila mkia unataka kuwashinda. Mkia unaotaka kuwashinda upo katika ngome ya waasi iliyopo katika Mkoa wa Kaskazini wa Panjshir unaozungukwa na milima na mabonde.  Waasi wa Panjshir wameamua kupigana kufa au kupona…

Kina Banda Mbezi, Chama Marakech

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Rafiki yangu Abdi Banda amerudi nchini kujiunga na Mtibwa Sugar. Sijui nini kimemtoa Afrika Kusini na kumrudisha nyumbani. Ninahisi kuna tatizo mahala.  Muda ambao wachezaji wa mataifa mengine wanaikimbia ligi yetu kwenda ligi kubwa…

Rosa Ree azungumzia magumu ya mkataba

DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Mwanamuziki wa ‘hip hop’ na rapa maarufu nchini, Rosary Robert a.k.a Rosa Ree, amesema ubovu wa mazingira ya kazi umemfanya avunje mkataba na lebo moja ya Afrika Kusini. Rosa Ree ameliambia JAMHURI kuwa mkataba…

Hamza pasua kichwa

NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Kitendawili cha nini kilichomsukuma Hamza Mohammed kufanya mauaji ya watu wanne na baadaye naye kuuawa kinaendelea kuwa kigumu, baada ya mamlaka inayohusika na magonjwa ya afya ya akili kukana kumtibu. Kitengo cha Magonjwa ya…