Category: MCHANGANYIKO
Waziri Bashe: Rais Samia hana deni kwa Watanzania katika sekta ya kilimo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kahama Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Dk.Samia Suluhu Hassan hana deni kwa Watanzania katika sekta ya kilimo hivyo watendaji wa Wizara wana wajibu wa kuhakikisha yote yanayofanywa na serikali yanatekelezeka. Amesema, Rais Dk. Samia…
Tuvumiliane na kuheshimiana kama Watanzania -Dk Biteko
๐ Mamia ya Wakatoliki Wamiminika Uwanja wa Uhuru Kongamano la Ekaristi Takatifu ๐ Watanzania Wahimizwa Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto…
Askofu Bagonza : Mfumo uliopo unaruhusu kupiga kura na si kuchagua
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe Dkt Benson Bagonza amesema ifike hatua nchi iwe na mfumo unaotoa uhuru wa kupiga kura na kuchagua na siyo kama ilivyo sasa ambapo…
Tanzania yang’ara Tamasha la Mabalozi Uholanzi 2024
Na Mwandishi Maalumu Ubalozi wa Tanzania umetamba kwenye Tamasha la Mabalozi 2024 (Embassy Festival) nchini Uholanzi, ambalo limevutia watazamaji zaidi ya 50,000 mwishoni mwa wiki iliyopita katika jiji la The Hague. Idadi hiyo ya wahudhuriaji ilijumuisha makumi ya Watanzania waishio…
Waziri Mavunde awataka Watanzania kuchangamkia manunuzi ya bidhaa ya trilioni 3.1 migodini
–Azindua rasmi Chama cha Watoa Huduma na Wauzaji wa Bidhaa Migodini –Afurahishwa na Watanzania kuzingatia ubora –Awataka kushirikiana na kusaidiana –Rais Samia apongezwa kuvutia uwekezaji Dar es salaam Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amewataka watanzania wanaoshiriki kwenye mnyororo wa…
Dk Biteko ahimiza wanawake kutumia mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi
๐Asisitiza Benki Kuendelea Kuhudumia Watanzania ๐ Azindua Mwongozo wa Uratibu na Usimamizi wa Mifuko na Programu za Uwezeshaji ๐Programu ya Imarisha Uchumi na Samia Kukomboa Wananchi ๐ Asisitiza Watanzania Kuchagua Viongozi Bora Serikali za Mitaa Na Ofisi ya Naibu Waziri…