Category: MCHANGANYIKO
Gridi ya Taifa kumaliza tatizo la umeme Rukwa
π Kituo cha kupoza umeme kujengwa Nkansi π Maeneo 1,500 yaliyofanyiwa mapitio yamekidhi vigezo kulipia 27,000/- Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema changamoto ya umeme katika Mkoa wa Rukwa itamalizika baada ya Mkoa…
Ruvuma ilivyobarikiwa kuwa na vivutio adimu vya utalii
MKOA wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa michache nchini ambayo imebarikiwa na Mwenyezi Mungu kuwa na vivutio vya aina zote za utalii,ambavyo ni utalii wa ikolojia na utamaduni. Mkoa wa Ruvuma una mapori manne ya wanyamapori ambayo ni sehemu ya…
Jeshi la Polisi lawafariji wagonjwa Chato
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato KATIKA kile kinachoonekana ni kuitafsiri kwa vitendo falsafa ya Polisi Jamii na Ulinzi shirikishi,Jeshi la polisi wilayani Chato mkoani Geita limefanya usafi na kutoa zawadi mbalimbali kwa baadhi wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali ya wilaya hiyo….
Ruvuma ina wajane zaidi ya 49, 000
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea TAKWIMU za Sensa ya Watu na Makazi za mwaka 2022 zinaonesha kuwa Mkoa wa Ruvuma una jumla ya wajane wapatao 49,702. Hayo yasemwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Rehema Madenge wakati anafungua…
Taasisi za umma zasisitizwa umuhimu wa mfumo wa NeST- Twamala
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Kaimu Katibu Tawala ,Mkoa wa Pwani ,Shangwe Twamala amesisitiza ulazima wa Taasisi za Umma kutumia mfumo wa kielektroniki wa ununuzi wa Umma βNeSTβ ambao unasimamiwa na mamlaka ya udhibiti wa ununuzi wa Umma(PPRA). Hayo aliyasema…
Matumizi ya kidigital shuleni kusaidia weledi kwa wanafunzi
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Sekta ya elimu inatakiwa kuja na mikakati mizuri ya Tehama ili kusaidia weledi wa ufundishaji kwa kuangalia mabadiliko ya teknolojia yanayoenda kasi ili kurahisisha shughuli zake na kuwa na weledi. Hayo yamebainishwa leo Juni…