JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Upepo wa kisiasa unavyowatikisa wanasiasa

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Tangu kurejea kwa mfumo wa vyama vingi nchini Julai 1992 na kufanyika Uchaguzi Mkuu wa kwanza chini ya mfumo huo mwaka 1995, kumekuwa na wimbi la wanasiasa kuhama chama kimoja na kujiunga na…

Mwelekeo mpya

*Rais Samia avunja usiri wa mikopo serikalini *Aanika kiasi ilichokopa serikali, matumizi yake *Wingi wa miradi kuchemsha nchi miezi 9 ijayo *PM asema ‘kaupiga mwingi’ 2025 – 2030 mtelezo DODOMA Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan ameweka mwelekeo mpya…

NMB wamtia umaskini mstaafu

DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Uzembe unaodaiwa kufanywa na Benki ya NMB Makao Makuu umesababisha kushindwa kuondoa majonzi kwa mkunga mstaafu, Yustina Mchomvu, aliyetapeliwa fedha zake za mafao. Fedha za mjane huyo mkazi wa Msindo, Same, mkoani Kilimanjaro, ziliibwa…

Maono ya Baba wa Taifa kuhusu wanawake

DAR ES SALAAM Na Anna Julia Chiduo – Mwansasu Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia tena kuandika kwenye Gazeti letu la JAMHURI katika kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kilichotokea miaka 22 iliyopita, Oktoba…

Vigogo wanavyotafuna nchi

DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Vigogo 456 wakiwamo marais wastaafu na waliopo madarakani, mawaziri wakuu wa zamani, mabalozi, wauzaji wa dawa za kulevya, mabilionea, wasanii na wana michezo maarufu, wafalme, wanasiasa na viongozi waandamizi serikalini katika nchi 91 wamebainika…

Tumuenzi Mwalimu kwa kusapoti  kampeni ya Samia ya maendeleo

Wakati taifa likiwa katika wiki ya maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Rais Samia Suluhu Hassan amezindua kampeni ya maendeleo na mampambano dhidi ya UVIKO-19. Ni kampeni ya aina yake itakayodumu…