JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tujenge utamaduni wa kupima afya zetu

Na John Francis Haule, JamhuriMedia, Arusha Kila ifikapo tarehe Mosi Desemba, dunia inaadhimisha Siku ya UKIMWI, ikiwa ni kumbukumbu ya kuelimisha jamii kuhusu ugonjwa wa Virusi vya UKIMWI (VVU) na jinsi ya kuepuka maambukizi yake. Maradhi haya, tangu yalipoanza kuikumba…

Tume ya Ushindani yachagiza wawekezaji kukimbilia soko lanushindani Mafia

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Tume ya Ushindani (FCC) inachagiza wawekezaji kujitokeza na kuchangamkia fursa za kuwekeza katika sekta ya utalii na uchumi wa bluu wilayani Mafia. Tume hiyo imesisitiza kuwa ni wakati muafaka kwa wawekezaji kuingia sokoni bila hofu…

Karatu wachangamkia majiko ya ruzuku

đź“ŚMamia wajitokezađź“ŚWaipongeza Serikali kwa mkakati huo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wananchi Wilayani Karatu Mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya kilo sita (LPG) yanayotolewa na Serikali kwa kushirikiana na Kampuni ya Lake Gas kwa…

Arusha kufanya maombi miaka 63 ya uhuru

MKOA wa Arusha utaadhimisha miaka 63 ya Uhuru kwa kufanya kongamano kubwa la maombi kwa ajili ya kuombea mkoa huo dhidi ya changamoto zinazokumba jamii ya mkoa wa kaskazini mwa Tanzania Akizungumzia madhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul…