JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Nishati safi inamuondolea adha mtoto wa kike – Kijaji

📌 Kuokoa muda kwa ajili ya shughuli za maendeleo 📌 Atoa wito kwa wananchi kutumia Nishati Safi ya Kupikia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema uwepo wa Nishati Safi ya…

Maendeleo ni makubwa nchini, Watanzania tumuunge mkono Rais Samia- Mathias Canal

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anapaswa kutiwa moyo na kuungwa mkono kwa maendeleo makubwa anayoyafanya kwa ajili ya watanzania sio kubezwa au kumkejeli. Wakati Tanzania inapata uhuru mwaka 1961…

Mhagaa : Serikali yatenga bil. 1/- upimaji afya nyumba kwa nyumba

Na Mwandisi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Afya Jenista Mhagama amesema miongoni mwa majukumu ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii ni kupima magonjwa yasiyoambukiza na yanayoambukizwa. Amesema wahudumu hao watapita nyumba kwa nyumba katika vijiji mbalimbali vya mikoa…

Msongozi awashauri wanawake kugombea nafasi za wenyeviti Serikali ya Mtaa

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Jacklin Ngonyani Msongozi amewataka wanawake mkoani humo kujitokeza kugombea nafasi za mwenyekiti wa Serikali za Mitaa ili kukuza usawa wa kijinsia na kuimarisha demokrasia ndani ya nchi. Msongozi ameyasema…

Waziri Mhagama afurahishwa na MSD inavyookoa maisha ya watoto njiti

Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Afya Jenista Mhagama ameipongeza Bohari ya Dawa (MSD) kwa kuendelea kuhakikisha inanunua vifaa muhimu vinavyohitajika kusaidia kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa wakiwa njiti. Waziri Mhagama amesema hayo leo wakati akikabidhi vifaa…

Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Baraka Ildephonce Leonard kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19…