JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Dkt Mataragio akagua ujenzi wa kituo mama cha kujaz9ia gesi

Amtaka Mkandarasi kuongeza kasi  *Mitambo kuanza kusimikwa Septemba 2024 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amekagua kazi za ujenzi wa Kituo cha Kujazia Gesi kinachojengwa katika barabara ya Sam Nujoma mkoani Dar es Salaam na kumtaka Mkandarasi…

Naibu Waziri Kapinga ataka kasi ya uunganishaji umeme Ushetu iongezeke

📌 Asisitiza utunzaji wa miundombinu ya umeme 📌 Kijiji cha Sunga wilayani Ushetu kupata umeme ndani ya siku Tisa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Judith Kapinga ameuagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia…

Kikwete atoboa siri ya ushindi CCM

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema anafurahishwa na namna makada, wanachama na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wanavyoendeleza umoja…

CAG atoa kongole kwa PPAA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles Kichere ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kutoa elimu kwa umma kuhusu majukumu yake. Bw. Kichere ametoa pongezi hizo wakati alipotembelea…