JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

‘Membe uliponzwa na utovu wa nidhamu’ 

DAR ES SALAAM Na Dk. Boniphace Gaganija Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Bernard Membe kwa kuelezea namna alivyofitiniwa na Rais Dk. John Magufuli na kupoteza nafasi ya kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola.  Pongezi…

MWAKA MMOJA MADARAKANI… Rais Mwinyi kuwalipa waliotapeliwa ‘DECI’

ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuwalipa watu waliotapeliwa mabilioni ya fedha kwa njia ya upatu. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa uongozi wa Awamu ya…

Fahamu magumu aliyopitia Jaji Bwana

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Je, unamjua mwanasheria wa kimataifa aliyepiga hatua tangu kuwa hakimu mkazi mwaka 1975 hadi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani nchini Tanzania na Shelisheli, na haikutosha akateuliwa tena na Umoja wa Mataifa (UN) kuwa…

Mawili niliyoyaona safarini Iringa

Hivi karibuni nilisafiri kati ya Dar es Salaam na Iringa. Njiani niliona mengi ya kuvutia, na mengine ya kuhuzunisha pia. Kilometa chache kutoka Mikumi kama unakwenda Iringa kuna wananchi wanaoishi maisha duni. Kuna biashara ndogo za mapapai na miwa. Biashara…

KUMBUKIZI YA SEIF SHARIF HAMAD Yakumbukeni mema ya wafu wenu!

Siku ya Ijumaa Novemba 5, mwaka huu 2021, katika Hoteli ya Golden Tulip, Kiembe Samaki, Zanzibar, kulifanyika kumbukizi ya maisha ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, marehemu Maalim Seif Sharif Hamad (Allaah Mtukufu Amrehemu) na kuzindua taasisi…

Miaka 60 ya Uhuru Madini yadhibitiwa kutoroshwa nje

DODOMA Na Mwandishi Wetu  Kuelekea kilele cha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania kitakachofanyika Desemba 9, mwaka huu, Waziri wa Madini, Dotto Biteko, amesema sekta ya madini imepata mafanikio makubwa kwa kuzuia utoroshaji wa madini kwenda nje ya nchi  Biteko…