JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ubalozi wa Saudi Arabia waahidi kudumisha uhusiano zaidi na Tanzania

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taifa la Saudi Arabia limeadhimisha miaka 94 tangu ilipopata uhuru wake kutoka mikononi mwa koloni la muingereza. Kihistoria taifa la Saudi Arabia lilijipatia uhuru wake rasmi mnamo septemba 23 ya mwaka 1932 chini…

Rais Samia: Uzalishaji kahawa waongezeka, waingiza dola milioni 250

Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Songea RAIS Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema mafanikio yaliyopo sekta ya kilimo hayatokei kwa bahati mbaya bali ni kutokana na juhudi z kubwa zilizofaywa na Serikali. Amesema zao la kahawa pekee limeongezeka katika uzalishaji kutoka tani 65…

Rais Samia afungua shule ya msingi mchepuo wa kiingereza ya Chief Zulu Songea

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Teofilo Mbunda kuhusu matumizi ya Computer shuleni hapo, Songea mkoani Ruvuma tarehe…

Rais Samia aweka jiwe la msingi ujenzi wa maghala 28 ya kuhifadhi chakula Luhimba, Ruvuma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameongoza hafla ya uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi wa maghala 28 mapya ya kuhifadhi nafaka katika eneo la Luhimba, Ruvuma. Hafla hii imefanyika  Septemba 24, 2024, imekuja kama…