JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Polisi wachunguza madai ya Mbunge

MBOGWE Na Antony Sollo Polisi mkoani Geita wameanza uchunguzi wa tuhuma zilizotolewa bungeni wiki chache zilizopita kuwa maofisa madini mkoani hapa wamewaua kikatili watu sita. Tuhuma hizo zilitolewa bungeni jijini Dodoma na Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga, akidai kuwa mmoja…

Kukatika umeme ni hujuma?

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Ni ukweli usiopingika kwamba kumekuwa na tatizo la mgawo wa umeme katika maeneo mbalimbali yaliyo katika Gridi ya Taifa katika siku za karibuni. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),…

Mabadiliko tabianchi, hatima ya kilimo chetu

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi  Tanzania inajulikana kuwa ni nchi ya wakulima na wafanyakazi. Alama katika bendera ya TANU na baadaye CCM ni jembe na nyundo. Alama ya jembe inawakilisha wakulima na nyundo inawakilisha kundi la wafanyakazi katika…

Mfumo wa uchumi, dhana ya kukosekana kwa ajira 

KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Kumekuwa na mjadala kuhusu tatizo la ajira hapa nchini. Ni mjadala wenye sura nyingi namna unavyojadiliwa. Taarifa ya Uchumi ya Mwaka 2018 inasema kila mwaka wahitimu wanaomaliza elimu ya chuo kikuu ni zaidi ya laki nane…

Benki yamfitini Mzanzibari

*Ilikataa kumwongezea mshahara, akaomba kazi CRDB akapata *Ilipobaini amepata kazi ikaahidi kumlipa mara mbili asihamie huko *Alielekea kukubali, akabaini ni danganya toto, akathibitisha kuondoka *Utawala wakafanya mbinu, wakamfukuza kazi kwa kosa la kusingiziwa Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Benki moja kubwa…

Membe apigilia msumari

‘Katiba mpya, mgombea binafsi havikwepeki’ DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Kachero mbobezi, Bernard Membe, anasema hakuna wafanyabiashara walioumizwa na Serikali ya Awamu ya Nne ikilinganishwa na Serikali ya Awamu ya Tano. Anazungumzia mwenendo wa utawala wa Awamu ya Nne…