JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

MSD yapata mafanikio makubwa, yaboresha upatikanaji bidhaa za afya kwa Watanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma BOHARI ya Dawa (MSD), imepata mafanikio makubwa hadi Juni mwaka huu wa 2024 kutokana na maboresho yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuongeza nguvu. Hayo yamebainishwa…

Tanzania na Japan kuendelea kushirikiana katika fursa mbalimbali

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), Latifa Hamis ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi katika maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF) ili kuona fursa mbalimbali…

Hanang yadhamiria kuwekeza kwenye madini ya ujenzi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Hanang Halmashauri ya Wilaya ya Hanang iliyopo mkoani Manyara imedhamiria kuwekeza kwenye Madini ya Ujenzi hususan kokoto ili kuongeza vyanzo vingine vya mapato. Hayo yamebainishwa leo Julai 04, 2024 na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Teresa…

Tanzania, Qatar kushirikiana sekta ya utalii

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Qatar ziko mbioni kusaini Hati ya Makubaliano (Memorandum of Understanding-MOU) kushirikiana katika nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii. Hayo yamebainika leo…

UDOM yajielekeza kwenye tafiti zinazotatua changamoto za jamii

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimesema kuwa kimejielekeza kufanya tafiti zinazotoa majibu ya changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii ili kuhakikisha kunakuwa na ustawi kwa Watanzania. Akizungumza kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa…

Majimbo yote ya uchaguzi Mwanza kupata barabara za kiwango cha lami – Mhandisi Ambrose

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Katika kipindi cha mwaka 2023/2024 serikali imetekeleza miradi 7 ya maendeleo katika mkoa wa Mwanza yenye urefu wa kilomita 39 ambapo gharama za miradi hiyo ni Shilingi Bilioni 56.038 ambapo majimbo yote ya uchaguzi yatapata…