Category: MCHANGANYIKO
Mikoa, Halmashauri zaagizwa kushiriki maonesho ya viwanda
📌 Dkt. Biteko awataka Wazalishaji kutumia Fursa ya Umeme Kuzalisha 📌 Aagiza kudhibitiwa njia za Magendo 📌 Ataka Maonesho ya Biashara kuleta Mapinduzi ya Viwanda na Biashara Nchini Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri…
Wenye sifa na miaka 21 wajitokeze uchaguzi Serikali za Mitaa – Dk Shemwelekwa
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha, Dkt. Rogers Shemwelekwa, ametoa wito kwa wananchi wenye umri wa kuanzia miaka 21 kujitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa na wajumbe…
Hakimu, wakili wa Serikali wakerwa wakili Chuwa kuchelesha kesi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Aaron Lyamuya, ameelezea kukerwa na tabia ya wakili wa utetezi kwenye kesi ya jinai, Edward Chuwa kutaka kesi iahirishwe mara kwa…
Rais Samia aipongeza AfDB, utekelezaji miundombinu ya barabara nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru na kuipongeza Taasisi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuwa mdau mkubwa wa sekta ya miundombinu nchini ambapo wamewezesha mkopo wa Shilingi Bilioni 630 kwa…