JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Uwekezaji wavutia meli kubwa China kutia nanga Bandari ya Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeendelea kupokea meli kubwa za mizigo katika bandari yake ya Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mafanikio baada ya uwekezaji mkubwa kufanyika katika bandari hiyo…

Ngorongoro wathibitisha kuachana na matumizi ya kuni

đź“ŚWajitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya ruzuku Wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha wameitikia wito wa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ikiwa ni hatua ya kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe….

Tamasha la Toyota Festival kutangaza utalii wa Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Peres Magiri amezindua Tamasha kubwa la Toyota Festival ambalo limelenga juhudi za kuimarisha utalii, kukuza uchumi wa Mkoa huo na kuhamasisha ushirikiano wa kijamii kupitia shughuli mbalimbali za…

‘Watoto 14,000 kati ya milioni 2 wana usonji’

Watoto 2,000,000 wanaozaliwa Tanzania 14,000 mpaka 20,000 wanazaliwa na usonji katika kipindi cha mwaka mmoja. Mkurugenzi Mkuu wa huduma za Kinga Wizara ya Afya, Dk. Hamad Nyembea ametoa takwimu hizo akiwa kwenye usiku wa msimu wa tatu wa harambee wa…

Wanne wadakwa mauaji ofisa TRA

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa wanne kwa mauaji ya mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Amani Simbayao. Watuhumiwa hao ni makuli na wakazi wa Tegeta kwa Ndevu, Dar es Salaam, Deogratius Massawe (40)…

Nchemba awataka wananchi kuacha kushabikia vitendo vya uhalifu

Na Mwandishi wetu WAZIRI wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kuacha kushabikia vitendo vya uharifu na kuepuka kujichukulia Sheria mkononi kwani sio jambo nzuri. Dk Nchemba ametoa kauli hiyo Jijini Dar es salaam mapema leo Desemba 8, 2025 wakati…