Category: MCHANGANYIKO
Biden awaalika viongozi wa dunia kwenye mkutano kuhusu Ukraine
Rais wa Marekani Joe Biden anawaalika viongozi kuhudhuria mkutano kuhusu Ukraine nchini Ujerumani kuratibu juhudi za nchi zaidi ya 50 zinazoiunga mkono Ukraine katika kujilinda dhidi ya uvamizi wa Urusi. Taarifa hiyo imetangazwa na Ikulu ya Marekani kwamba mkutano huo…
Palestina: Acheni kuipatia Israel silaha
Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas akihutubia Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani ametoa wito wa kutipatia Israel silaha. Mkutano huo wa mjini New York kwa kiasi kikubwa umetawaliwa na wasiwasi kuhusu vita…
Serikali yatoa trekta tano kwa wanaotekeleza Mradi wa BBT Njombe
Waziri wa Kilimo Hussen Bashe ametoa Trekta tano kwa vijana na wanawake katika Wilaya wa Njombe kwa ajili ya mradi wa Kilimo cha jenga kesho iliyo bora (BBT) ili kurahisha shughuli hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Njombe Kissa Gwakissa Kasongwa…
Serikali yaahidi kutumia ndege nyuki kuwaondoa tembo kwenye makazi ya watu Tunduru
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Tunduru Rais Samia Suluhu Hassan amehutubia maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma akisisitiza umuhimu wa maendeleo ya jamii na ushirikiano katika kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo ya kuwaondoa Tembo kwa kutumia ndege nyuki kwenye…
Mfumo wa kidigitali wa Airpay na ZEEA kuwarahisishia wajasirimali kupata mikopo kwa urahisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar KAMPUNI ya Airpay Tanzania imesema kuwa mfumo wa kidigitali walioutengeneza kwa kushirikiana na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA) na taasisi zingine za kifedha utawarahisishia wajasiriamali wa Zanzibar kupata mikopo kwa urahisi na haraka. Hayo…