JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mkakati wa kuondoa ‘Divisheni 0’ Arusha

Arusha Na Mwandishi Wetu Halmashauri ya Jiji la Arusha imedhamiria kuinua sekta ya elimu kwa kuboresha mazingira mazuri ya kufundishia na kujifunzia ili kuondoa daraja sifuri kwa wanafunzi wa kidato cha pili na nne kwa kutenga kiasi cha fedha kutoka…

Namna ya kuzungumza mtoto akusikilize, aongee

ARUSHA Na Dk. Pascal Kang’iria  Tangu zamani jamii duniani imekuwa ikipitia maisha ya kila namna – yenye uzuri na ubaya ndani yake. Vizazi kadhaa vimepita vikirithishana tamaduni mbalimbali. Sehemu kubwa ya kufanya utamaduni kuwa makini na wenye tija, ni kupitia…

Funga mwaka ya Rais Samia 

DAR ES SALAAM NA MWALIMU SAMSON SOMBI Machi 19, mwaka jana Samia Suluhu Hassan aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania baada ya kifo cha mtangulizi wake, Rais Dk. John Magufuli, kilichotokea Machi 17, mwaka jana. Akizungumza katika hotuba yake fupi baada…

Kujiuzulu Ndugai ni ukomavu wa fikra

DAR ES SALAAM Na Javius Kaijage Januari 6, mwaka huu ni siku ambayo Job Ndugai alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa Bunge, hivyo kuandika historia mpya katika kitabu cha Tanzania. Ni historia mpya kwa maana kwamba kumbukumbu zinaonyesha kuwa…

Defao alipaswa kuwa Dar siku aliyokufa

TABORA Na Moshy Kiyungi Wiki mbili tu baada ya Gazeti la JAMHURI kuandika maisha ya mkongwe wa muziki wa Afrika na raia wa DRC, Lulendo Matumona, maarufu Le Jenerali Defao, taarifa zikasambazwa kuwa amefariki dunia. Katika toleo la gazeti hili…

Tutu alikuwa mwanaharakati wa kimataifa

Na Nizar K Visram Askofu Mkuu Desmond Tutu wa Cape Town (Afrika Kusini) alipofariki dunia Desemba 26, 2021 akiwa na umri wa miaka 90, ulimwengu ulimlilia.  Wengi wakakumbuka jinsi alivyokuwa mwanaharakati aliyepambana na ubaguzi wa rangi (ukaburu) nchini mwake. Wakakumbuka…