JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mkakati wa siri Freemasons kuitawala dunia – (4)

DAR ES SALAAM  Na Mwalimu Paulo Mapunda Hapo zamani Mungu alikwisha kufunua kupitia ndoto ya Nebukadreza, Mfalme wa Babeli (The King of the Ancient Mesopotamia) iliyotafsiriwa na Daniel, Nabii (Daniel 2:44, 45) kwamba utawala wa Mungu ndio utakaosimama mwisho baada…

Nchi maskini huzisaidia nchi tajiri, si vinginevyo

Na Nizar K. Visram Kupiga vita umaskini ni ajenda inayozungumzwa sana, hasa katika Bara la Afrika.  Aghalabu watu hutofautiana katika mbinu za kufikia lengo hilo. Kuna wanaosema ni halali kwa nchi ‘maskini’ kuomba misaada kutoka nchi ‘tajiri’. Wengine watasema hatuna…

Polisi kudhibitiwa

*Sheria yawaondolea mamlaka ya kumkamata tena aliyefutiwa kesi *DPP azuiwa kufungua kesi hadi upelelezi ukamilike, masharti yalegezwa *Uhujumu uchumi sasa ni kuanzia bilioni 1, awali hata Sh 1 ilihusika *Mawakili watoa mazito, wapinga kifungu 47A kuwapa polisi meno DAR ES…

Mwekezaji anyimwa hati kwa miaka 25

*Kisa kakataa kutoa rushwa  kwa maofisa wa PSRC Dar es Salaam Na Dennis Luambano Kundi la kampuni za Wellworth Hotels and Lodges Limited limenyimwa hatimiliki na ‘share certificates’ za Hoteli ya Kunduchi Beach and Resort pamoja na nyumba za wafanyakazi…

Polisi kujichunguza mauaji ni kututania

Na Deodatus Balile Kashfa kubwa imeliandama Jeshi la Polisi nchini kutokana na mauaji ya kijana mfanyabiashara Musa Hamisi (25). Kuna taarifa mbili kuwa Hamisi aliuawa baada ya kuporwa Sh milioni 33.7, ilhali wengine wakisema ameporwa Sh milioni 70. Hamisi alikuwa…

Dk. Mwinyi ataka mabadiliko

Zanzibar Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza haja kwa watendaji serikalini kubadilika na kutofanya kazi kwa mazoea ili mipango iliyopangwa na serikali itekelezeke.  Rais Dk. Mwinyi amesema hayo baada…