JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Nishati safi ya kupikia italeta mageuzi makubwa ulindaji wa mazingira – Mahundi

📌Asema hekta 469,000 za misitu zinateketea kwa shughuli za binadamu 📌Asisitiza Nishati Safi ya Kupikia si anasa Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi amesema nchi inakwenda kushuhudia mageuzi makubwa ya utunzaji wa mazingira kupitia Mkakati…

JKCI yaanza kutoa huduma ya upimaji wa magonjwa ya moyo bure Geita

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza mpango muhimu wa kutoa huduma ya upimaji wa magonjwa ya moyo bure mkoani Geita, unaolenga wakazi wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kambi hiyo ya uchunguzi wa magonjwa…

REA kushiriki Samia Kilimo biashara Expo 2024 Morogoro

📌Ajenda ya Nishati ya Kupikia imepewa kipaumbele Wakala wa Nishati Vijijini (REA) itashiriki katika Maonesho ya Samia KILIMO Biashara Expo 2024 kwa msimu wa tatu yanayotarajiwa kuanza tarehe 6 Oktoba, 2024 wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro. Akizungumza katika kikao hicho,…

Kuhifadhi mbegu za uzazi Sh milioni moja

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KITUO cha kupandikiza mimba cha Dk Samia Suluhu Hassan katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dar es Salaam kimesema mtu anayehitaji kupata mtoto anaweza kuhifadhi mbegu za uzazi kwa gharama ya Sh milioni…

Rais Samia azindua Kitabu cha Sokoine

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Familia ya hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya kuzindua Kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wake katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere…