Category: MCHANGANYIKO
Jane Goodall apewa barabara Kigoma Ujiji
Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji imempa jina la barabara Mwanamazingira maarufu duniani Mama Jane Goodall kwa mchango wake katika uhifadhi na utunzaji mazingira mkoani Kigoma sambamba na mchango wake wa kuitangaza hifadhi ya Taifa ya Gombe. Uzinduzi wa jina…
Jaji Mkuu afanya ziara maeneo ya uhifadhi wa nyaraka za mashauri Kanda ya Dar
• Asisitiza kuendelea kwa zoezi la kudijiti nyaraka za Mahakama kwa urahisi wa rejea Na Mary Grwera, Mahakama-Dar es Salaam Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma leo tarehe 09 Julai, 2024 amefanya ziara ya ukaguzi wa maeneo matatu ya…
Taasisi 1,147 zajiandikisha kwenye mfumo mpya wa ununuzi kielekloniki (NeST)
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa hadi sasa taasisi nunuzi 1,147 zimeshajiandikisha kwenye mfumo mpya wa ununuzi wa kielektroniki (NeST) pamoja na wazabuni zaidi ya 22,000 kutoka katika makundi makuu matatu ambayo sheria mpya ya Mamlaka hiyo…
Serikali yachochea kuongezeka kwa mapato MSD
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassa, imeiongezea nguvu Bohari ya Dawa (MSD), na kuchangia kuleta mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuongeza mapato. Lengo la uwekezaji huo ni kuiwezesha…
Eric Omond atangaza kwenda Ikulu kuonana na Rais Ruto
Mchekeshaji Eric Omondi wa Kenya amemuomba rais wa nchi yao, William Ruto kuwafukuza kazi makatibu mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wote wa mashirika ya umma kabla ya Alhamis wiki hii. Omondi amesema Wakenya wamepoteza imani kwa Serikali yote ya Ruto…
Mwanafunzi UDOM achora picha inayomuelezea Rais Samia akiwa katika majukumu matatu ya kitaifa
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Enock Tarimo amechora picha ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inayomwelezea akiwa katika majukumu matatu ya kitaifa ambayo imekuwa kivutio kikubwa kwa…