JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mafuta, Shabiby, tugeukie gesi

Na Deodatus Balile Wiki hii nazungumzia tatizo sugu linalolikabili taifa letu katika nishati ya mafuta. Kabla zijaingia undani wa bei za mafuta na suluhisho mujarabu, nizungumzie kwanza kupanda kwa bei za bidhaa na huduma.  Kwa sasa kila mtu anapandisha bei…

BEI YA MAFUTA Kauli ya Shabiby yazua mjadala

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Kauli iliyotolewa bungeni jijini Dodoma wiki iliyopita kuhusu kutaka kutazamwa upya kwa utaratibu wa uagizaji wa mafuta ili kuleta ushindani sokoni, imepokewa kwa mitazamo tofauti. Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu,…

Unakifahamu kilichomuua Mwalimu Nyerere?

Na Joe Beda Rupia Birth-day au birthday. Siku ya kuzaliwa. Huwa si siku maarufu sana kwa kweli katika maana halisi ya ‘siku ya kuzaliwa’!  Huwa haifahamiki. Kwa nini? Kwa sababu mtoto anayezaliwa hajulikani. Hasa kama mtoto mwenyewe anatoka katika familia…

Bandari ya Dar es Salaam  yaweka historia mpya

*Meli kubwa yatia nanga   ikiwa imebeba magari 4,041 DAR ES SALAAM Na Mwandishi Maalumu Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi yake baada ya wiki iliyopita kupokea meli kubwa zaidi kuwahi kufika, pia ikiwa ni ya kwanza yenye mzigo mkubwa…

Binti aboresha kitimwendo kuwasaidia walemavu

*Sasa kitawawezesha kufanya kazi za mikono, mazoezi kwa urahisi *Agizo la Serikali kwa TIRDO, SIDO kushirikiana naye lapuuzwa Dar es Salaam Na Alex Kazenga  Binti wa Kitanzania, Joan Mohamed (24), ameibuka na ubunifu wa aina yake utakaokifanya kitimwendo (wheelchair) kuwa…

Sensa kufanyika kidijitali

Zanzibar Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan amezindua nembo na tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022. Uzinduzi huo ulifanyika Aprili 8, mwaka huu katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar ambapo Rais alitangaza kuwa…