JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Marekani yatumia Bunge kumwengua Waziri Mkuu Pakistan 

Na Nizar K Visram Imran Khan, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Pakistan, ameondolewa madarakani baada ya Bunge la nchi hiyo kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.  Kura hiyo ilipigwa Aprili 9, mwaka huu baada ya mvutano mkali baina ya Chama…

DARAJA LA WAMI: Alama nyingine ya kujivunia Tanzania

CHALINZE Na Mwandishi Wetu Miundombinu inatajwa kuwa na umuhimu mkubwa katika kuchochea maendeleo ya uchumi wa taifa, ikifananishwa na mishipa ya damu katika mwili wa binadamu. Barabara na madaraja ndiyo hasa vitu vinavyoyagusa moja kwa moja maisha ya mwananchi wa…

Compaore afungwa kwa mauaji ya Kapteni Sankara

Na Nizar K Visram Jumanne Aprili 6, mwaka huu, Blaise Compaoré, Rais wa zamani wa Burkina Faso, amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa mauaji ya Thomas Sankara, rais wa nchi hiyo aliyeuawa Oktoba 1987. Hukumu ilitolewa na mahakama ya kijeshi…

MIAKA 100 YA MWALIMU… Tanzania ilikuwa Makka ya wapigania uhuru

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Ifuatayo ni mada iliyotolewa na Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Aboubakary Liongo, katika maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa lililofanyika Aprili 9, 2022 Chuo cha Uongozi Kibaha. Ndugu zangu, wakati tunaadhimisha…

Mchwa waliomulikwa ripoti ya CAG watafutiwe mwarobaini 

Ripoti ya mwaka wa fedha wa 2020/2021 ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, imeibua madudu mengi katika maeneo ya kiutendaji serikalini. Mathalani kupitia ripoti hiyo iliyowasilishwa bungeni Aprili 12, 2022 imebainika kuwa mamlaka 24…

Uchafuzi Mto Mara kizungumkuti

*Wabunge wakataa ripoti ya kitaalamu, wainyoshea kidole Barrick *Wananchi nao wawashangaa wabunge, JAMHURI labaini hali tofauti  TARIME Na Paul Mayunga Wakati baadhi ya wabunge wakiikosoa na kuitilia shaka ripoti iliyotolewa wiki iliyopita na serikali, wananchi wa vijiji vilivyopo ukingoni mwa…