JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wazazi watakiwa kuwatengenezea Mazingira bora ya elimu watoto wao

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa wazazi wana jukumu la kuwaendeleza watoto wao kwa kuwapatia elimu bora na kuwafundisha stadi za maisha. Hayo yameelezwa mwishoni mwa wiki na Mdau wa Elimu na Mkurugenzi wa Kampuni ya Fahari…

TPA ipo hatua za mwisho kukamilisha miundombinu ya gati na tshari iliyozama Mafia

Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaendelea na maboresho ya miundombinu katika kisiwa cha Mafia, ikiwemo kurekebisha tshari iliyozama Septemba mwaka huu, ili kurejesha huduma muhimu za usafiri wa majini. Sambamba na hilo, TPA kwa…

Gen S waadhimisha siku ya Uhuru kwa kufanya usafi kwenye maeneo ya kijamii Dodoma

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania, vijana wa Generation Samia (Gen S) wameonyesha mfano mzuri wa mshikamano na uzalendo kwa kufanya shughuli ya usafi katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dodoma, huku wakitoa…

Hassan na Hussein warejea nchini baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuwatenganisha nchini Saudi Arabia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Watoto Hassan na Hussein Amri Jummane (3) waliozaliwa wakiwa wameungana kwenye nyonga, kifua na wana miguu mitatu sasa wamereja nchini baada ya kufanyiwa upasuaji wa kutenganishwa huko nchini Saudi Arabia. Akizungumza na vyombo vya habari kwa…

Makonda aadhimisha siku ya Uhuru kwa maombi

Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media, Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameadhimisha siku ya Uhuru wa Tanganyika kwa kufanya matembezi ya maombi ya kuuombea mkoa huo pamoja na Taifa la Tanzania. Akizungumza na mamia ya watu walihudhuria matembezi…

Miaka 63 ya Uhuru: CCM yasisitiza imoja , mshikamano katika kuendeleza mafanikio ya Taifa”

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Tanzania ikiwa inaadhimisha miaka 63 ya Uhuru wake,Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Jawadu Mohamed amewataka wananchi kuendelea kuwa na umoja na mshikamano katika kuendeleza mafanikio yaliyopatikana na kuhakikisha kuwa taifa linaendelea…