JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mchechu adai fidia Sh bilioni 3

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akidai Gazeti la Citizen limlipe fidia ya Sh bilioni 3. Analilalamikia gazeti hilo…

Tunajifunza nini kutoka Chadema?

MOROGORO Na Everest Mnyele Wiki iliyopita Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewafuta rasmi uanachama wabunge 19 wa Viti Maalumu.Hebu kwanza tujifunze maana ya chama cha siasa. Kwa lugha rahisi, chama cha siasa ni muungano wa watu wenye itikadi moja…

Bibi kizee kuwaburuza vigogo mahakamani

KILINDI Na Bryceson Mathias Ajuza mkazi wa Mgambo, Kwediboma wilayani Kilindi mwenye umri wa miaka 100, Fatuma Makame, ameapa kuwafikisha mahakamani maofisa wa serikali na wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi akiwatuhumu kwa kuhujumu chanzo chake cha kipato. Bibi huyo…

Ndoto ya ‘Simba Mo Arena’ imeyeyuka? 

DAR ES SALAAM Na Andrew Peter “Ukiona mtu mzimaaa mamaa! Analia, mbele za watu ujue kuna jambo.” Sehemu ya kiitikio cha wimbo wa Msondo uitwao ‘Kilio cha Mtu Mzima.’ Tangu alipochukua jukumu la uenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu,…

Jbwai wa Canada azungumzia ‘Certified’

DAR ES SALAAM Na Christopher Msekena Bara la Afrika halijawahi kukaukiwa na vijana wenye vipaji wanaofanya shughuli za usanii na sanaa ndani na nje ya bara hili, huku wakifikia hatua mbalimbali za mafanikio. Miongoni mwa vijana hao ni Michael Baiye,…

Mubarak: Rais wa Misri aliyetorosha mabilioni

Na Nizar K Visram Mahakama ya Umoja wa Ulaya (EU) imeamuru mali za rais wa zamani wa Misri, Hosni Mubarak, ambazo ziko Ulaya zisizuiwe, hivyo kuiruhusu familia yake kuzimiliki bila pingamizi. Hukumu hiyo imetolewa Aprili 6, mwaka huu, ikihitimisha kesi…