JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

WAGOMBEA WENZA: Ni uteuzi wa kimkakati

MOMBASA Na Dukule Injeni Hatimaye wagombea urais, hususan wa muungano wa Azimio la Umoja One, Kenya Alliance na Kenya Kwanza wameteua wagombea wenza siku chache tu kabla ya Mei 16, mwaka huu, iliyotengwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka…

Ni mshikemshike Liverpool, Real Madrid

PARIS, UFARANSA Liverpool inalitaka taji la saba la Ulaya pamoja na kulipa kisasi cha fainali ya Ligi ya Mabingwa 2018 dhidi ya Real Madrid inayosaka kombe lake la 14 la mashindano hayo makubwa zaidi kwa klabu barani humo. Liverpool watakuwa…

Ni kilimo cha ‘kufa’ tu au ‘kufa na kupona’?

Na Joe Beda Rupia Nimewahi kuhoji katika safu hii miezi kadhaa iliyopita iwapo kilimo bado ni uti wa mgongo wa taifa letu. Hakukuwa na majibu ya moja kwa moja. Kilimo. Kilimo. Kilimo. Kimekuwa kikiambatana na kaulimbiu mbalimbali, lakini kwa hakika…

Samia atafuna mfupa wa mishahara mipya

Samia atafuna mfupa wa mishahara mipya DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hatimaye Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeongeza mishahara ikiwamo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa asilimia 23.3. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari…

Utata Mloganzila

*Yatupiwa lawama ikipachikwa majina ya ‘njia panda ya kuzimu’, ‘ukienda hutoki’ *Mgonjwa alazwa siku sita, atibiwa mara mbili tu akitozwa Sh milioni 1.8  *JAMHURI lapiga kambi siku kadhaa kubaini ukweli, hali halisi ya mambo *Uongozi wazungumza, wasema lawama nyingi si…

Asante Mbowe kwa hotuba yenye matumaini, lakini…

DAR ES SALAAM Na Abbas Mwalimu Mimi ni mmoja wa Watanzania waliofuatilia hotuba ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ya Mei 11, 2022. Hakika ilikuwa hotuba iliyojaa hekima, busara na ukomavu wa kisiasa. Mbowe ameonyesha…