Category: MCHANGANYIKO
Semfuko awahimiza Watanzania kuchangamkia fursa ya ufugaji wa wanyamapori
Na Beatus Maganja, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko amewahimiza watanzania kuchangamkia fursa za ufugaji wa wanyamapori zinazopatikana katika Taasisi ya TAWA. Ameyasema…
‘Michakato ya miradi ya maendeleo iharakishwe’
Watendaji wa Halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara wametakiwa kuharakisha michakato ya miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wakati pindi wanapopata fursa ya miradi hiyo ili kuleta matokeo chanya kwa wananchi. Akizungumza wakati wa kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Mtimbwilimbwi…
Viongozi wanne hatiani kwa ubadhirifu fedha za urasimishaji makazi
Mnamo tarehe 05/07/2024 imetolewa hukumu ya kesi ya Jinai namba CC.386 /2024 na Hakimu Mkazi Mwandamizi Gloria Nkwera, katika shauri lililoendeshwa na Mawakili Waandamizi wa Serikali – Veronica Chimwanda na Fatuma Waziri ambapo Ahmed Waziri Msika na wenzake watatu walitiwa…
Gavana Bwanku awashauri waganga wa jadi kujiepusha na ramli chonganishi
📍Bukoba, Kagera Aongozana na mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Kagera Chifu Nyarubamba, watendaji wa Kata, Polisi Afisa Tarafa wa Tarafa ya Katerero iliyoko Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera Bwanku M Bwanku leo Jumamosi Julai 13, 2024 amefanya kikao na waganga…