Category: MCHANGANYIKO
Katavi kuwa kanda ya ununuzi wa mazao
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Hassan ameutangaza mkoa wa Katavi kuwa kanda maalum ya ununuzi wa mazao na uhifadhi wa nafaka ya chakula. Ametoa kauli mara baada ya kuzindua vihenge vya kisasa, na ghala za kuhifadhia…
NIRC yawataka wakandarasi kusaidia jamii maeneo yenye miradi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi MKURUGENZI Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliji (NIRC), Raymond Mndolwa, amewataka Wakandarasi wanaojenga miundombinu ya umwagiliaji kuhakikisha wanasaidia jamii hususani maeneo yenye miradi. Mndolwa amesema hayo katika ziara ya ukaguzi na ufuatiliaji wa ujenzi wa…
Kisarawe yaita maabara kutoa elimu ya ufugaji
WILAYA ya Kisarawe iliyoko Mkoa wa Pwani, imewaita Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), kutoa elimu kuhusiana na ufugaji kwa wana Kisarawe ili wafuge kisasa. Mkuu wa Wilaya hiyo, Petro Magoti ametoa wito huo alipotembelea banda la TVLA katika Maonesho ya 48…
Viongozi wa dunia walaani shambulio dhidi ya Trump
Viongozi wa nchi mbalimbali duniani wamelaani shambulio la risasi lililomjeruhi sikioni aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump Msemaji wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani na kuliita tukio hilo kuwa ni vurugu za kisiasa. Kwa upande wake…
Tunaondoka Mbulu DC tukiwa tumeridhika kabisa ya kwamba mmemtendea haki Dkt. Samia na hata sisi pia
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Mbulu Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa Godfrey Eliakimu Mnzava ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu chini ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Abubakar Kuul na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Joseph Mandoo na Mbunge…