Category: MCHANGANYIKO
Utende,Chole kunufaika mradi wa umeme utakaopitisha nyaya chini ya bahari
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Wakazi wa kisiwa cha Utende na Chole, wilayani Mafia,Mkoani Pwani wanakwenda kunufaika na mradi wa umeme wenye msongo mkubwa wa KV 11 ,kuvuta nguzo 300 na kuzamisha waya ndani ya maji kufikisha katika visiwa hivyo….
Trump akaribishwa kwa nderemo kongamano la chama cha Republican
Rais Donald Trump amehudhuria mkutano wa chama cha Republican akikaribishwa kwa shangwe na nderemo. Hii ni mara ya kwanza kwake kuonekana kwenye hafla kubwa ya umma tangu jaribio la mauaji dhidi yake kwenye mkutano wa kisiasa siku ya Jumamosi. Bandeji…
Mikataba minne ya bilioni 10.75/- yasainiwa kujenga miundombinu ya barabara Dar
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imesaini mikataba minne ya miundombinu ya barabara yenye thamani ya bilioni 10.75 zitakazojengwa kwa kiwango cha lami ujenzi wake utaanza muda wowote kuanzia sasa na kukamilika ndani…
Mitaji changamoto ya vijana kwenye kilimo – Waziri Bashe
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati Serikali inapanga mikakati ya kuwasadia vijana katika kilimo, imeonekana changamoto kubwa ya vijana kuingia kwenye kilimo ni mitaji. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alipokuwa akizungumza na Waandishi wa…
PPRA yataja siri ya kupata tuzo ya mshindi wa kwanza katika kipengele cha mamlaka za udhibiti
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MENEJA Kanda ya Pwani kutoka Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA), Vicky Mollel amesema kuwa mamlaka hiyo ilitarajia ushindi kutokana na nguvu kubwa waliyoiweka katika kuhamasisha Umma. Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na…