JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

‘Asiyeshiriki kuhesabiwa anarudisha nyuma maendeleo’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Hanang’ Serikali imepanga kuhesabu kwa mara moja watu wote watakaolala nchini kwenye usiku wa kuamkia siku ya sensa Agosti 23 mwaka huu. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Mwigulu Lameck Nchemba ameyasema hayo mji mdogo wa Katesh Wilayani…

Yanga ‘kujifungia’ Kigamboni Dar

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, na Michuano ya ASFC, Young Africans SC wamethibitisha kuwa wataweka kambi ya maandalizi ya msimu ujao wa mashindano jijini Dar es Salaam katika hosteli za Avic Town, Kigamboni. Akizungumza…

Nyangao waomba madaktari bingwa zaidi kutoka MOI

LINDI Na Aziza Nangwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya St. Walburg’s Nyangao, Dk. Masanja Kasoga, anaiomba serikali na wadau kuwawezesha na kuongeza madaktari bingwa wa mifupa, ubongo na mishipa ya fahamu  kutoka Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI). Uongozi wa hospitali…

Miaka minne ya kishindo shule za serikali

Wakati wa uongozi wa Awamu ya Kwanza chini ya Mwalimu Julius Nyerere, serikali ilijitahidi na kufanikiwa kujenga shule za msingi na sekondari kwa madhumuni ya kutoa elimu kwa vijana. Wakati huo hapakuwa na shule nyingi za binafsi kama ilivyo sasa….

Spika ataka sekta za kilimo, nishati kufungamana

LILONGWE Na Mwandishi Maalumu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amezitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo  Kusini mwa Afrika (SADC) kufungamanisha sekta za kilimo na nishati kupitia mikakati  mbalimbali ya kukuza uchumi wanayoitekeleza.  Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa 51…