JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

NMB yawapiga msasa wanahabari masuala ya bima

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), imeipongeza Benki ya NMB kwa kukuza Uelewa, Ufahamu na Elimu ya Bima kwa Jamii, huku ikivitaka vyombo vya habari nchini kuisaidia Serikali kuibeba kwa uzito mkubwa agenda hiyo ya kimkakati kuipeleka kwa Watanzania….

Viswaswadu kutumika kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga kura

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAPIGAKURA waliopo kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wataweza kutumia simu zao ndogo za mkononi (vitochi au viswaswadu) kuanzisha mchakato wa kuboresha au kuhamisha taarifa zao. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma…

Mabomu baridi 700 kutumika Nachingwea kudhibiti tembo

Na Anangisye Mwateba-Nachingwea Lindi Wizara ya Maliasili na Utalii  inatarajia kugawa mabomu baridi yapatayo 700 kwa ajili kukabiliana na wanyama wakali na waharibifu wilayani Nachingwea. Haya yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) alipokuwa akiongea…

Nape : Msinunue vocha tofauti na bei iliyoelekezwa

Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Mwanza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi kutokubali kununua vocha kwa bei tofauti na iliyoandikwa kwenye vocha hizo ambayo zimeelekezwa na Serikali. Waziri Nape ametoa kauli hiyo…

Global Education Link yadahili wanafunzi maonyesho ya vyuo vikuu Zanzibar

Na Mwandishi Wetu, WAKALA wa Elimu ya Vyuo Vikuu nje ya Nchi Global Education Link (GEL), imeanza kudahili wanafunzi papo hapo kwenye maonyesho yanayoendelea kwenye viwanja vya Maisala visiwani Zanzibar. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa GEL, Abdulimalick Mollel, wakati akizungumza…