Category: MCHANGANYIKO
Tanzania, Finland zimesainia hati ya makubaliano kuendesha mashauriano ya kisasa
Tanzania na Finland zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kuhusu kufanya rasmi Mashauriano ya Kisiasa kati ya nchi hizo mbili. Uwekaji saini huo ulifanyika leo tarehe 09 Oktoba, 2024 jijini Helsinki na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…
Akiba Commercial Bank Plc yaadhimisha wiki ya huduma kwa kutoa tuzo
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia Dar es Salaam Akiba Commercial bank Plc imewashukuru wateja wake kuungana nao katika safari hii ya kutoa huduma bora zaidi za kibenki ambazo zinachangia maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa Watanzania. Shukrani hizo zimetolewa leo Okoba 9,2024…
Dk Mpango aipa heko TANROADS, aweka jiwe la msingi kiwanja cha ndege
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. Philip Mpango ameweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kiwanja cha ndege Tabora na kuipongeza Wizara ya Ujenzi wa kazi wanayoifanya katika mradi huo. Akizungumza leo…
WWF yawafunda waandishi wa habari juu ya mkataba wa CITES
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Pwani Shirika la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF) ,limewataka Waandishi wa habari Bara na Visiwani ,kutumia kalamu zao kutoa elimu kwa jamii juu ya mkataba wa Kimataifa wa Biashara ya Wanyamapori, Mimea iliyo hatarini kutoweka…
Rais Samia apongezwa mageuzi makubwa sekta ya afya
📌 Serikali Yawapongeza Wanaradiografia kwa Mchango wao kwa Jamii 📌 Uwekezaji katika Sekta ya Afya Waokoa Fedha 📌 Tanzania Nchi ya Nne Afrika kuwa na PET SCAN Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu…