Category: MCHANGANYIKO
Uwekezaji sekta ya nishati Tanzania kunufaisha nchi wanachama EAPP – Kapinga
📌 Ashiriki Mkutano wa Nchi Wanachama wa EAPP nchini Kenya 📌 Aeleza jinsi Tanzania inavyotekeleza miradi ya umeme kwa ufanisi 📌 Asema zaidi ya asilimia 99 ya Vijiji nchini vimesambaziwa umeme Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judidhi Kapinga amesema uwekezaji uliofanyika…
DC Lushoto aongoza wananchi kufanya usafi maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru
Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Zephania Sumaye aongoza wananchi Katika kufanya usafi na zoezi la upandaji miti kwenye hospital ya wilaya ya Lushoto hikiwa ni siku ya mahadhimisho ya kumbukizi ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika Sambamba na hayo…
Wazazi watakiwa kuwatengenezea Mazingira bora ya elimu watoto wao
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa wazazi wana jukumu la kuwaendeleza watoto wao kwa kuwapatia elimu bora na kuwafundisha stadi za maisha. Hayo yameelezwa mwishoni mwa wiki na Mdau wa Elimu na Mkurugenzi wa Kampuni ya Fahari…
TPA ipo hatua za mwisho kukamilisha miundombinu ya gati na tshari iliyozama Mafia
Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaendelea na maboresho ya miundombinu katika kisiwa cha Mafia, ikiwemo kurekebisha tshari iliyozama Septemba mwaka huu, ili kurejesha huduma muhimu za usafiri wa majini. Sambamba na hilo, TPA kwa…
Gen S waadhimisha siku ya Uhuru kwa kufanya usafi kwenye maeneo ya kijamii Dodoma
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania, vijana wa Generation Samia (Gen S) wameonyesha mfano mzuri wa mshikamano na uzalendo kwa kufanya shughuli ya usafi katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dodoma, huku wakitoa…
Hassan na Hussein warejea nchini baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuwatenganisha nchini Saudi Arabia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Watoto Hassan na Hussein Amri Jummane (3) waliozaliwa wakiwa wameungana kwenye nyonga, kifua na wana miguu mitatu sasa wamereja nchini baada ya kufanyiwa upasuaji wa kutenganishwa huko nchini Saudi Arabia. Akizungumza na vyombo vya habari kwa…