JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tanzania, Urusi kuongeza maeneo ya ushirikiano

Serikali ya Tanzania na Urusi zimekubaliana kuongeza maeneo ya ushirikiano katika sekta za biashara na uwekezaji,utalii pamoja na utamaduni. Makubaliano hayo yamefikiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk alipokutana kwa…

Kinana ashauri barabara nne Dar-Tunduma

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mbeya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana emesema umefika wakati kwa Tanzania kuwa na barabara nne kila upande kutoka Dar es Salaam hadi Tunduma kwa ajili ya kufungua fursa zaidi za kiuchumi….

NMB yaendelea kuwa kinara wa ufanisi nchini Tanzania

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Benki ya NMB imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka 2022. Faida kabla ya kodi imeongezeka kwa asilimia 54 na kufikia Shilingi bilioni 298 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 193 ya kipindi kilichoishia…

Makamba: Hatusambazi umeme vijijini kwa ajili ya kuwasha taa tu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Nishati,January Makamba amesema kuwa, Serikali haisambazi umeme vijijini kwa ajili ya kuwasha taa peke yake bali kuchagiza pia shughuli za kiuchumi ikiwemo uanzishaji wa viwanda. Amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda kinachochakata parachichi ili…

Balozi Umoja wa Ulaya amtembelea Jaji Mkuu

Na Mary Gwera,JamhuriMedia BALOZI wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) Tanzania, Manfredo Fanti amemtembelea Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali ya utoaji haki nchini. Akizungumza na Jaji Mkuu ofisini kwake katika…