Category: MCHANGANYIKO
Bukombe waishuku Serikali kwa maendeleo
📌 Wajivunia ujenzi wa miundombinu huduma za jamii 📌 Dkt. Biteko Asisitiza umuhimu wa ushirikiano kuleta maendeleo 📌 Ataka Wananchi kuchagua Viongozi Wenye Sifa Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa…
DC Magoti ampigia simu Aweso, tatizo la maji Majumba Sita
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe BAADHI ya maeneo kata ya Kiluvya wilayani Kisarawe, mkoani Pwani ikiwemo Makurunge, Majumba Sita wamelalamikia ukosefu wa maji hali inayosababisha kutumia maji ya bwawani na wanafunzi kubeba kupeleka shule ili kukabiliana na kero hiyo. Akizungumzia…
Waziri Bashe akabidhi mradi wa umwagiliaji Luiche Kigoma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (Mb) ameshiriki katika kukabidhi mradi wa umwagiliaji wa Bonde la Luiche, mkoani Kigoma lenye ukubwa wa hekta 3000 kwa mkandarasi M/S CRJE (East Africa) LIMITED ya Dar es Salaam kwa…
Bashe: Rais Samia hataki utani kilimo cha umwagiliaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amewahakikishia Watanzania kuwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuleta mapinduzi sekta ya Umwagiliaji, hivyo miradi yote aliyoahidi itatekelezwa Waziri Bashe amesisitiza utekelezaji wa miradi hiyo unaofanywa na Tume ya…
Waziri Kairuki kushiriki mkutano wa 67 wa Mawaziri wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani Zambia
Na Mwandishi Wetu – Zambia Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) amewasili nchini Zambia leo Julai 21,2024 kwa ajili ya kushiriki mkutano wa 67 wa Mawaziri wa Utalii wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN…