JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Waziri Kapinga : Chagueni viongozi watakaotatua kero zenu

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Nyasa. WANANCHI wa Kata ya Chiwanda wilayani Nyasa mkoani Ruvuma wametakiwa kuchagua viongozi bora wa serikali za vijiji na vitongoji kwenye uchaguzi unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu ambao wataweza kuwaletea maendeleo na kutatua changamoto zinazowakabili na…

Tanzania yaunga mkono agenda za Shirika la Utalii Duniani za uwekezaji wa kimkakati na usalama

Na Mwandishi Wetu, Zambia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeunga mkono agenda za Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) kuhusu uwekezaji wa kimkakati katika rasilimali watu kwenye elimu na ujuzi pamoja na agenda ya usalama wa maeneo ya…

Vijiji vyote Nyasa vyafikiwa na umeme

📌 Kapinga asema TANESCO na REA zimejizatiti kufikisha umeme maeneo ya kijamii 📌 Vitongoji havijasahaulika; 122 kati ya 421 vina umeme 📌 Upelekaji umeme viwandani, migodini na maeneo ya kilimo unaendelea Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga leo Julai 22,…

Rais Samia ana maamuzi magumu

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Usiku wa kuamkia leo tumeshuhudia kishindo kikubwa katika siasa za Tanzania. Kishindo hiki kimetokana na kalamu ya Rais Samia Suluhu Hassan, juu ya ‘maamuzi magumu’ aliyoyafanya kwa mawaziri wanne. Ametengua uteuzi wa mawaziri…

Mwigulu: Hakuna uchotaji fedha BoT

WAZIRI wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema hakuna utata au uchotaji wa Fedha katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Kupitia ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa X Dk Mwigulu ameeleza kuwa BoT inasimamia kwa umakini sheria za nchi na…

‘House Girl’ aliyemchinja mtoto wa bosi wake akamatwa

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata dada wa kazi aliyefahamika kwa jina la Clemensia Mirembe (19) aliyekuwa anatafutwa kwa kosa la kumchinja mtoto wa bosi wake. Tukio hilo…