Category: MCHANGANYIKO
Israel yagundua makombora 40 yaliyorushwa na Lebanon
Jeshi la Israel pia limesema kwamba limegundua makombora mapya 40 ambayo yalirushwa kutoka Lebanon. Jeshi la Israel limesema Alhamisi kuwa lilifanya mashambulizi ya anga ambayo yaliwaua makamanda wawili wa Hezbollah ambao walihusika katika mashambulizi ya makombora yaliyolenga eneo la kaskazini…
Milioni 1.2 kuandikishwa Daftari la Wapiga Kura Pwani – RC Kunenge
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani unatarajia kuandikisha zaidi ya watu milioni 1.2 kwenye Daftari la Wapiga Kura, zoezi ambalo limeanza rasmi Oktoba 11 na linatarajiwa kukamilika Oktoba 20 mwaka huu. Kwa mujibu wa mkoa huo ,zoezi hilo…
Dk Biteko aongoza wananchi Bukombe kujiandikisha Daftari la Mpiga Kura
đź“ŚAwahimiza Kujitokeza kwa Wingi Kujiandikisha đź“Ś Awataka Kutumia Haki ya Kikatiba kuchagua Viongozi Wao Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa…