JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali yatoa vishikwambi 270 kufundishia elimu ya uzaji/VVU

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Singida MKUU wa Wilaya ya Singida,Mhandisi Paskas Mragili, amezitaka shule za msingi na sekondari wikayani hapa kujipanga kuingia katika mfumo wa ufundishaji kwa njia ya kidigitali kwa kuwa mpango wa serikali ni kutaka utendaji wote uwe unafanyika kidigitali….

Barua zenye maandishi mekundu yazua hofu kwa madiwani Mtwara

MADIWANI watano wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mkoa wa Mtwara wamebakia na mshangao baada kukuta barua zenye ujumbe zilizoandikwa kwa maandishi mekundi nyumbani kwao. Ujumbe hizo zinazosomeka ‘Munatualibia maisha yetu na nyinyi mujiandae kuhalibiwa kwa namna yoyote maisha yenu’ zimeandikwa…

Gonzalez: Tutashirikiana na Serikali kupambana na vitendo vya ukatili

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Amon Mpanju ameiomba Klabu ya Mpira inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara Simba Sports Club kuungana na Serikali katika kutoa elimu kuhusu Malezi, Makuzi na…

Kibaha yaongoza ukusanyaji mapato, Bumbuli yashika mkia

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Uchambuzi umeonesha kuwa, katika mwaka wa fedha 2021/22, halmashauri 100 zimekusanya kwa asilimia 100 au zaidi ya lengo la mwaka, halmashauri 78 zimekusanya kati ya asilimia 80 hadi asilimia 99 na halmashauri saba zimekusanya kati ya asilimia…

Ndalichako aelekeza ukaguzi maalum matumizi ya fedha za Uviko-19

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako, ameelekeza kufanyika kwa ukaguzi Maalum juu ya matumizi ya kiasi cha fedha shilingi milioni 694. Fedha zimetumika kwa ajili ya mradi wa ukarabati wa…