JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kitandula: Tanzania ni sehemu salama ya kuwekeza

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imewahakikishia wawekezaji kuwa Tanzania ni sehemu salama hivyo waje kuwekeza. Wito huo umetolewa leo Oktoba 12, 2024 na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula wakati akifungua Mkutano wa jukwaa la…

Rais Samia atua Mwanza kwa kishindo

Ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza imeanza siku ya leo na kwa umuhimu mkubwa katika kuimarisha maendeleo ya mkoa huo inatarajiwa kutoa fursa kwa wananchi kuwasilisha changamoto wanazokabiliana nazo moja…

Waziri wa afya aipongeza Shifaa kwa kuanzisha kituo cha tiba na utafiti wa saratani

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amezindua Kituo cha Tiba na Utafiti wa Saratani cha Shifaa na kuahidi kuwa serikali itaendelea kuongeza bajeti ya dawa za saratani kila mwaka kutokana na ongezeko kubwa la wagonjwa wa saratani. Waziri…

Dk Mataragio akaribisha uwekezaji vitalu vya mafuta na gesi asilia

📌 Ni Eyasi-Wembere, Songo songo Magharibi na Mnazi Bay 📌 Jotoardhi nayo yatajwa Kongamano la Mafuta Afrika 📌 Kamishna Shirima atoa uhakika wa miundombinu ya gesi asilia Tanzania Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Dkt. James Mataragio amewakaribisha wawekezaji…

Mnada wa kwanza wa korosho wapata mafanikio Tandahimba, Newala wakulima wamshukuru Rais Samia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara LEO Oktoba 11, 2024, historia imeandikwa katika mikoa ya kusini baada ya kufanyika mnada wa kwanza wa korosho ulioandaliwa na Chama Kikuu cha Ushirika Tandahimba na Newala (TANECU). Katika mnada huo, jumla ya tani 3,857…